top of page
This course can no longer be booked.

DARASA LA MASTER - MAUA YA SUKARI

Njoo ujifunze / uongeze ujuzi wako wa kutengeneza maua ya sukari

Ended
Tshs 990,000
Masaki - Dar es salaam

Service Description

SAJILI SASA , LIPIA BAADAE ( mwisho wa malipo ni wiki kabla ya darasa kuanza ) SHIRIKI DARASA NA UONGEZE UJUZI WAKO WA KUPAMBA !!! Njoo ushiriki kwenye darasa hili ili uongeze ujuzi wako wa kutengeneza maua haya ya sukari . Inawezekana kwamba tayari unao ujuzi wa kutengeneza maua lakini unataka kuongeza kiwango na utaalamu wa utengenezaji wako. ( Linafaa pia kwa embae hajui kabisa ) Kwenye darasa hili utajifunza maua tofauti tofauti . - Uchanganyaji wa rangi za paste (colour theory) - Maua ya kutumia wire na bila wire - Maua madogo ya fillers - Maua makubwa aina tofauti - Majani tofauti tofauti - Upakaji rangi za dust (kiundani zaidi kulipa ua lako uhalisia) - Aina tofauti za upangaji wa maua yako - Jinsi ya kuyaweka kwenye keki na kuyahifadhi Mwisho wa darasa hili utapata: - Maua ya sukari yaliyopangwa vizuri kwenye box (uliotengeneza darasani) - Cheti cha kukamilisha darasa - Faili la makaratasi lenye maelezo na maelekezo ya kutengeneza maua ( pia kwa PDF ) - Kujiunga na kikundi cha mafunzo ya kwenye mtandao ( online ) Angalizo - Lunch , vitafunwa , vinywaji ni bure - Kila mwanafunzi atatengeneza maua yake mwenyewe ( kwa vitendo) - Vifaa vote utakuta darasani


Contact Details

+4916096961125

bellasugarcraft@gmail.com

Gauting, Germany


bottom of page