top of page

Available Online

DARASA BINAFSI - MAUA YA SUKARI

Jifunze sanaa mpya / boresha ujuzi wako

8 hr
Bei maelewano
as agreed

Service Description

Hili ni darasa binafsi la mwalimu na mwanafunzi mmoja, hapa utajifunza kwa kasi yako na utafanya kazi bega kwa bega na ukaribu na mwalimu kuvumbua kipaji chako kilichofichika . Faida ya hili darasa ni linaweza kutengenezwa kutokana na matakwa ya mwanafunzi anavyotaka na pia muda wa darasa unaweza ukawa kutokana na nafasi ya mwanafunzi. (Jioni au week end pia ) Zingatia : - Mwalimu anaweza kuja kwenye sehemu yako ya biashara kukuelekeza jinsi ya kuboresha ujuzi wako wa maua - Bei inategemea na mahitaji na maelewano kati ya mwanafunzi na mwalimu


Contact Details

+4916096961125

bellasugarcraft@gmail.com

Gauting, Germany


bottom of page